1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Theluji na barafu yawapa watoto raha Ujerumani

11 Februari 2021

Msimu huu wa baridi nchini Ujerumani, kumekuwa na theluji na barafu kwa wingi tofauti na misimu mingine ya hivi karibuni. Je hali hii imeleta msisimko wa aina gani kwa watoto na hata wazazi? Harrison Mwilima anasimulia zaidi kwenye Kurunzi ya Ujerumani

https://p.dw.com/p/3pDIy