1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ununuzi wa bidhaa mtandaoni upo katika hali gani Afrika?

09:49
10 Juni 2024

Salaam msikilizaji wa DW Kiswahili Ungana na Suleman Mwiru kwenye makala ya Sema Uvume na wiki hii tunaangazia hali ya uuzaji wa biashara ya reja reja mtandaoni barani Afrika, Je, ikoje?

https://p.dw.com/p/4gsiO
Nakili kiunganishi

Waafrika hatua kwa hatua sasa wanakumbatia urahisi wa kufanya ununuzi mtandaoni. Hata hivyo, hali hii bado iko katika hatua za awali barani Afrika ikilinganishwa na masoko yaliyoimarika zaidi katika mabara mengine kama vile Asia, Ulaya na Marekani.

Sikiliza pia:
Wataalam wanasema licha ya sekta hiyo ya biashara kuwa muhimu barani Afrika lakini bado inakabiliwa na changamoto zinazohusiana na mambo ya kitamaduni na pamoja na vifaa.
Lakini ni wahusika gani wakuu wa biashara ya mtandaoni barani Afrika? 
 

Namna akili ya kubuni AI inavyotumiwa kuwarubuni watu

09:48