1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatizo la Ujerumani na mabomu yasiolipuka

Zainab Aziz3 Agosti 2023

Katika Makala ya Sura ya Ujerumani, Zainab Aziz anaangazia juu ya athari zinazosababishwa na mabomu yaliyotumika katika vita vikuu vya pili ambayo bado hayajalipuka hadi leo, miaka zaidi ya 75 tangu kumalizika vita hivyo.

https://p.dw.com/p/4UjvM