1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Homa ya ini duniani: Tanzania yaligeukia kundi la wauguzi

28 Julai 2023

Tanzania inaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya homa ya ini duniani kwa kuwafanyia vipimo wauguzi wake pamoja na kuwapatia chanjo kwa kuwa wauguzi ni miongoni mwa kundi lililo hatarini kupata ugonjwa huo kwa njia ya maambukizi.

https://p.dw.com/p/4UVi3