1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Siku 100 za Samia - Uhuru wa mahakama

23 Juni 2021

Katika mfululizo wa ripoti zetu kuhusiana na siku mia moja za kwanza za uongozi wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan tunaangazia mabadiliko na uhuru katika idara ya mahakama chini ya uongozi wa rais huyo. Wakili Mkindi Khamis anazungumza na DW

https://p.dw.com/p/3vRYx