1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari?

30 Juni 2023

Kufunguliwa na kuanza kuchapishwa kwa gazeti la uchunguzi la Mwanahalisi nchini Tanzania, baadhi ya wananchi wanataja kama ni alama ya vyombo vya habari kuwa huru, wamiliki wa gazeti hilo wanasema mabadiliko ya sheria kandamizi ndio uhuru wa kweli katika sekta hiyo

https://p.dw.com/p/4TFNh