1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Matukio ya ukatili wa kijinsia

Prosper Kwigize (HON)17 Desemba 2018

Tanzania inaendelea kugubikwa na matukio ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake jambo linalotajwa kuchochea ongezeko la madhara na athari za kisaikolojia, Utoro shuleni, Ukimwi na ulemavu miongoni mwa jamii unaotokana na ukeketaji, wanawake kupigwa na mimba katika umri mdogo.

https://p.dw.com/p/3AH43