Tabia ya uvutaji 'shisha' inavyosambaaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoBruce Amani Alakonya09.10.20159 Oktoba 2015'Shisha' ni uraibu wa Kiarabu unaokuwa kwa kasi kubwa kwenye miji ya Afrika Mashariki na hata barani Ulaya, na kwenye makala hii ya "Vijana Mchakamchaka", Bruce Amani anazungumza na vijana walioingia kwenye utamaduni huu mpya kujuwa undani wao.https://p.dw.com/p/1GlrQMatangazo