1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za Asubuhi, Februari 22, 2023

V2 / S12S22 Februari 2023

VIDOKEZO: Rais wa Marekani Joe Biden asisitiza nchi za Magharibi zitaendelea kuungana na kusimama na Ukraine hadi mwisho.// Mawaziri wa Ujerumani wazuru Uturuki na kuahidi misaada zaidi kwa waathiriwa wa tetemeko baya la ardhi.// Na Tanzania yaidhinisha ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda.

https://p.dw.com/p/4NoWF