Mahasimu nchini Libya wakubaliana kuleta amani ya kudumu. Armenia na Azerbaijan zaendelea kupigana wakati wanadiplomasia wake wakuu wafanya mazungumzo Marekani. Shirika la kimataifa lafedha lMF lasifu mpango wa kuiondoa Sudan kwenye orodha ya magaidi.