1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za Asubuhi: 21.08.2018

21 Agosti 2018

Italia yairuhusu meli iliyowabeba wahamiaji kutia nanga kwenye bandari yake ya Sicily. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani alaani unyanyasaji wa kingono uliofanywa na makasisi wa kanisa hilo. Mkuu wa kitengo cha haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa atahadharisha kwamba Umoja huo unaweza kuvunjika ikiwa hautafanyiwa mageuzi.

https://p.dw.com/p/33RrY