1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 21.04.2018

Yusra Buwayhid
21 Aprili 2018

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jung Un asema atasimamisha majaribio ya makomboro na silaha za kinyuklia. Ripoti iliyowasilishwa bungeni Ujerumani yasema mashambulizi dhidi ya Syria yalikiuka sheria ya kimataifa. Na, Mwanamfalme Charles wa Uingereza ateuliwa kuiongoza Jumuiya ya Madola baada ya Malkia Elizabeth.

https://p.dw.com/p/2wQzq