Watu wanne wenye silaha wavamia hoteli ya Intercontinental mjini Kabul, Afghanistan. Chama cha SPD kupiga kura leo kuamua kama kinataka kuendelea na mazungumzo ya kuunda tena serikali ya muungano na kansela Angela Merkel. Maelfu ya wanawake waandamana kupinga utawala wa Togo.