1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi: 03.07.2021

3 Julai 2021

Umoja wa Mataifa wasema zaidi ya watu laki nne wakabiliwa na baa la njaa katika jimbo la Tigray. Majeshi yote ya kimataifa yaondoka kutoka nchini Afghanistan. IMF yatetea uamuzi wa kuiongezea Uganda mkopo wa mabilioni.

https://p.dw.com/p/3vyGM