1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
14 Januari 2022

-Umoja wa Mataifa wasifu hukumu iliyotolewa na mahakama ya Ujerumani dhidi ya jasusi wa zamani wa serikali ya Syria -Afisa wa polisi mwenye cheo cha jenerali auawa na waandamanaji nchini Sudan -Shirika la Afya Ulimwenguni WHO lasema wimbi la nne la covid-19 barani Afrika limefika kileleni na kasi ya maambukizi inaanza kushuka.

https://p.dw.com/p/45W7z