1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
16 Mei 2019

https://p.dw.com/p/3IZi6

Miongoni mwa yaliyomo:

Mazungumzo kati ya wanajeshi na waandamanaji nchini Sudan yaahirishwa kwa siku tatu baada ya kuzuka ghasia.

Ujerumani na Uholanzi zasimamisha shughuli za mafunzo ya kijeshi Iraq kutokana na kitisho cha usalama.

Rais wa Ufaransa na Waziri Mkuu wa New Zealand waanzisha mpango wa kuondoa kauli za chuki mitandaoni.