1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
21 Mei 2018

https://p.dw.com/p/2y3D8

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ametangazwa mshindi katika uchaguzi mkuu wa jana uliondamwa na utata. Rais Donald Trump wa Marekani aamuru uchunguzi juu ya madai kuwa shirika la FBI lilipenyeza jasusi katika kampeni yake ya urais. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yaanzisha hii leo kampeni ya chanjo dhidi ya maradhi hatari ya Ebola.