1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

V2 / S12S5 Januari 2017

https://p.dw.com/p/2VIdn

Polisi ya Ujerumani inamshikilia mwanaume aliyekuwa pamoja na mshukiwa wa shambulizi la tarehe 19 Desemba mjini Berlin, usiku wa kabla ya shambulizi, Uturuki imesema imekwishamtambua mshambuliaji aliyewauwa watu 39 kwenye sherehe za mkesha wa mwaka mpya, Mahakama ya Israel imemkuta na hatia mwanajeshi wa nchi hiyo kwa kumuuwa kijana wa kipalestina.