1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 30.09.2018

30 Septemba 2018

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amemaliza ziara yake ya siku tatu nchini Ujerumani, huku akisema imekuwa yenye mafanikio makubwa // Umoja wa Mataifa umeialika Morocco na kundi la Polisario Front katika mazungumzo yenye lengo la kumaliza mzozo wao wa miongo kadhaa, baadae mwaka huu // Idadi ya watu waliokufa kutokana na matetemeko ya ardhi na tsunami nchini Indonesia yafikia 420

https://p.dw.com/p/35ipg