1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 29.09.2021

29 Septemba 2021

Shirika la Afya Duniani limeelezea kusikitishwa na unyanyasaji wa kingono uliofanywa na wafanyakazi wa mashirika ya misaada nchini Kongo//Mgombea wa Ukansela wa vyama vya muungano wa kihafidhina vya CDU na CSU Ujerumani, Armin Laschet anakabiliwa na mvutano unaoendelea ndani ya chama chake//Viongozi wa jeshi la Marekani wamesema walimshauri Rais Joe Biden kutowaondoa wanajeshi wote Afghanistan

https://p.dw.com/p/410eN