1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 29.09.2018

29 Septemba 2018

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan leo anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Ujerumani // Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ametaka kuanza mazungumzo rasmi ya kulifanyia mageuzi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa // Rais wa Marekani, Donald Trump ameiamuru FBI kuchunguza madai mapya ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Brett Kavanaugh

https://p.dw.com/p/35ggY