1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 28.09.2018

28 Septemba 2018

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan leo anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Ujerumani // Mwanamke anayedai kunyanyaswa kingono na Brett Kavanaugh ametoa ushahidi mbele ya kamati maalum ya seneti // Kiongozi wa Palestina, Mahmud Abbas amesema Wapalestina hawatoikubali tena Marekani kuwa mpatanishi katika mchakato wa amani ya Mashariki ya Kati

https://p.dw.com/p/35bna