1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 22.02.2017

22 Februari 2017

Shirika la kimataifa la haki za binaadamu, Amnesty International, limesema mwaka 2016 ulikuwa mwaka mbaya kwa haki za binadamu // Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir ametangaza mkakati mpya wa kupunguza njaa katika taifa hilo linalokabiliwa na ukame // Mahakama ya kijeshi imemhukumu mwanajeshi wa Israel, Sajenti Elor Azaria, kifungo cha miezi 18 jela baada ya kupatikana na hatia ya mauaji.

https://p.dw.com/p/2Y1B2