1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 20.11.2018

20 Novemba 2018

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameunga mkono mpango wa Uingereza kujiondoa kwenye umoja huo // Saudi Arabia imesema ripoti ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi, haina msingi wa kweli // Rasimu ya azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Yemen yataka kusitishwa mara moja mashambulizi kwenye mji wa bandari wa Hodeida

https://p.dw.com/p/38YX2