1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 19.11.2018

19 Novemba 2018

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema Ufaransa na Ujerumani zina jukumu la kuijenga Ulaya ya kisasa na yenye ufanisi // Waasi wa Houthi wametangaza kusitisha mashambulizi nchini Yemen // Viongozi wa Umoja wa Afrika wamekubaliana kuhusu mageuzi ya kupunguza utegemezi wa wafadhili

https://p.dw.com/p/38TpS