1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 19.03.2020

19 Machi 2020

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema nchi hiyo inakabiliwa na changamoto kubwa tangu Vita Kuu ya Pili ya Dunia katika mapambano ya virusi vya corona // Ujerumani yasitisha mpango wake na Uturuki kuhusu wakimbizi // Umoja wa Mataifa umemteua Philippe Lazzarini kuwa mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi wa Kipalestina

https://p.dw.com/p/3ZgQZ