1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 17.03.2020

17 Machi 2020

Ulimwengu unaendelea na juhudi za kuzuia kuenea kwa virusi vya corona, huku kila nchi ikichukua hatua mbalimbali kukabiliana na virusi hivyo // Makamu wa zamani wa rais wa Marekani, Joe Biden ameshinda katika uchaguzi wa kura za mchujo za kuwania urais kwa chama cha Democratic kwenye jimbo la Washington // Rais wa Israel, Reuven Rivlin amemteua Benny Gantz kujaribu kuunda serikali

https://p.dw.com/p/3ZYKA