1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 08.10.2019

8 Oktoba 2019

Marekani imesema haijaanza kuwaondoa wanajeshi wake wote nchini Syria//Rais wa Iraq, Barham Salih amelaani mashambulizi yanayofanywa dhidi ya waandamanaji pamoja na vyombo vya habari//Umoja wa Mataifa umezitaka Uingereza, Marekani na nchi nyingine kutoa taarifa zaidi kuhusu ajali ya ndege iliyosababisha kifo cha Dag Hammarskjold.

https://p.dw.com/p/3Qrld