1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 02.11.2019

2 Novemba 2019

Umoja wa Mataifa umesema kamati iliyochaguliwa kuandaa katiba mpya ya Syria imekubaliana kazi ya kuandika katiba itaanza wiki ijayo//Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amesema serikali ya Iraq inapaswa kuyasikiliza madai ya waandamanaji//Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ametoa wito wa kupatikana suluhisho la muda mrefu la amani katika mzozo wa Kashmir kati ya India na Pakistan

https://p.dw.com/p/3SMP7