1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari 17.02.2023

V2 / S12S17 Februari 2023

Umoja wa Mataifa watoa wito wa kukusanywa dola bilioni moja kushughulikia mzozo wa kibinadamu unaozidi kuongezeka Uturuki. Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kuzungumza na Rais wa China Xi Jinping juu ya sakata la puto lililodunguliwa. viongozi wa ulimwengu kukutana mjini Munich Ujerumani kwa mkutano wa kila mwaka kuhusu usalama.

https://p.dw.com/p/4Nd0h