1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sura ya Ujerumani: Colmena App na faida yake kwa wanahabari

20 Mei 2022

Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii inauangazia mtandao wa Colmena na jinsi unavyowasaidia waandishi wa habari. Mtandao huo unawawezesha kukusanya habari na kuziwasilisha kupitia mtandao kutokea mahali popote. Wawakilishi wa vyombo vya habari mbalimbali kutoka nchi zilizopo Amerika ya Kusini na bara la Afrika walishiriki katika uzinduzi huo wa mtandao wa Colmena uliofanyika Berlin Aprili, 28.

https://p.dw.com/p/4BeTA