1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSudan

Sudan: Je makubaliano ya kuvimaliza vita yanaweza kufikiwa?

2 Agosti 2024

Je! Majenerali wanaopigana katika vita vya nchini Sudan wapo tayari kufikia mapatano ya kusimamisha vita? Swali hilo pamoja na mambo mengine kuhusu hali ya nchini Sudan yanajadiliwa na wachambuzi kwenye Maoni Meza ya Duara. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4j1mU