1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sudan inaelekea wapi?

Josephat Charo28 Julai 2023

Hii leo katika Maoni Mbele za Meza ya Duara utawasikia wataalamu wakijadili mwelekeo wa taifa la Sudan linalokabiliwa na machafuko kufuatia mzozo wa madaraka kati ya majenerali wawili wa jeshi nchini humo. Je Sudan inaelekea wapi na hasa baada ya makubaliano ya mara kwa mara ya kusitisha mapigano na juhudi za kusaka suluhu kushindwa? Josephat Charo anaongoza mjadala.

https://p.dw.com/p/4UVyK