1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Spika Dk Tulia kuwania Urais wa Bunge la Dunia IPU

Deo Kaji Makomba
16 Juni 2023

Spika wa Bunge la Tanzania Dr. Tulia Ackson aliteuliwa kuwania Urais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU) katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba, 2023. Kwanini haswa ameamua kujitosa katika kinyang'anyiro hicho? Katika Kinagaubaga, Deo Kaji Makomba amezungumza na Spika Tulia. Sikliza mahojiano kamili hapa.

https://p.dw.com/p/4Sh8Q