1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Simba na Yanga zajiimarisha kuelekea msimu mpya wa soka

9 Julai 2024

Klabu ya Yanga nchini Tanzania imekamilisha usajili wa kiungo Aziz Andambwile akitokea Singida Fountain Gates. Andambwile amemwaga wino kwa kandarasi ya miaka miwili jangwani. Ama kwa upande wa Simba, klabu hiyo imemtambulisha kiungo mkabaji Yusuf Kagoma akitokea pia Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka mitatu. Kagoma ni miongoni mwa wachezaji 11 waliosajiliwa na Simba.

https://p.dw.com/p/4i4Zi