1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shinikizo laongezeka kwa Ujerumani kutuma silaha nzito Ukraine

14 Aprili 2022

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anakabiliwa na shinikizo linaloongezeka la kuongeza uungaji mkono kwa Ukraine katika kukabiliana na uvamizi wa Urusi ambao umegharimu maisha ya maelfu ya raia.

https://p.dw.com/p/49x2t