1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya DRC yasema iko tayari kuzungumza na waasi wa M23

Jean Noel Bamweze18 Julai 2022

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kwamba iko tayari kuzungumza na waasi wa M23 pale watakapojiondoa kutoka kwenye maeneo wanayoyadhibiti na kurejea kwenye eneo lao la awali. Sikiliza ripoti ya Jean Noël Bamweze kutoka Kinshasa.

https://p.dw.com/p/4EGyy