1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: Sarafu mpya ya mtandaoni ya WorldCoin

Sylvia Mwehozi
16 Agosti 2023

Mamilioni ya watu kote ulimwenguni wamechangamkia sarafu mpya ya mtandaoni ya WorldCoin ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na kufanya usajili kwa kuchanganua mboni za macho ili kuthibitisha utambulisho wa mtumiaji. Sarafu hiyo tayari imezua utata katika baadhi ya nchi kutokana na wasiwasi wa data zinazokusanywa na ulinzi wake, huku baadhi ya nchi ikiwemo Kenya zikisimamisha shughuli zake.

https://p.dw.com/p/4VEby