1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: Changamoto na fursa zilizopo katika nyanja ya usalama wa mtandao

9 Agosti 2023

Mkutano wa kimataifa wa usalama wa mtandao wa Intaneti unaojulikana kama Cybertech 2023 umefanyika Rwanda na mambo kuu yaliyolengwa ni fursa na changamoto kuu katika nyanya hiyo inayokuwa kwa kasi. Kwa mengi zaidi sikiliza Makala hii ya Sema Uvume mtayarishaji ni Aurelia Gabriel.

https://p.dw.com/p/4Uwb5