1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sanaa yageuka tiba Nigeria

Hawa Bihoga
14 Oktoba 2022

Sanaa ya muziki, uchoraji na hata michezo ya kutumia digitali imetoa matokeo mazuri kwa wagonjwa wa afya ya akili na usonji kwa baadhi ya vituo nchini Nigeria.Wataalamu wa afya wanasema wanaona matokeo chanya ambayo hawakuwahi kufikiri yangefikiwa kwa wagonjwa wao.

https://p.dw.com/p/4IDSY