1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sanaa ya vichekesho kwa kuiga jinsia tofauti

24 Agosti 2022

Kizazi cha mitandao ya kijamii kimechangia katika kuzaliwa kwa aina mpya ya Sanaa ya vichekesho, ambayo imechukua usukani kutoka kwa sekta ya kawaida ya burudani. Sanaa ya kuiga kina mama zetu, shangazi zetu, mabinti zetu au hata nyanya zetu imeuteka sasa ulimwengu wa intanet na kuzalisha hela.

https://p.dw.com/p/4Fy3O