1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda: Tuko tayari kulinda mipaka dhidi ya uchokozi wa DRC

27 Oktoba 2022

Serikali ya Rwanda imesema iko chonjo kulinda mipaka yake endapo uchokozi wa nchi jirani yake Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo utaendelea. Naibu msemaji wa serikali ya Rwanda Alain Mukurarinda amesema Rwanda inaunga mkono njia za amani kusuluhisha mzozo kati ya serikali ya DRC na kundi la M23, lakini haitakuwa mtazamaji wa kile Rwanda inasema ni uchokozi dhidi yake. Msikilize Sylvanus Karemera.

https://p.dw.com/p/4Ilfu