1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Rwanda na Kongo zazidi kukwaruzana

31 Januari 2023

Serikali ya Kongo imewafukuza maafisa wa Rwanda kutoka jeshi la kikanda la Afrika Mashariki linalohudumu nchini humo ikitaja sababu za kiusalama. Nayo Rwanda ikawaondoa maafisa wake wote kutoka kwenye kikosi cha pamoja kilichotanuliwa kinachofuatilia na kuchunguza matukio ya usalama kati ya nchi hizo mbili jirani. Marcel Hamdun anachambua

https://p.dw.com/p/4MuTe