1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Rwanda: Juhudi za kutafuta ufumbuzi DRC zimepotea njia

Daniel Gakuba22 Desemba 2022

Rwanda imetoa tangazo ikipinga shinikizo la kimataifa linaloongezeka dhidi yake kuitaka iache kile kinachoelezwa kuwa usaidizi wake wa kundi la waasi la M23 lililoyakamata maeneo kadhaa mashariki mwa DR Kongo. Hiyo ni baada ya Ufaransa na Ujerumani kuongeza sauti zao katika miito hiyo. Sikiliza mahojiano kati ya Daniel Gakuba na mchambuzi wa masuala ya Maziwa Makuu, Ali Mali.

https://p.dw.com/p/4LJIp