1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais William Ruto avunja baraza lake la mawaziri

11 Julai 2024

Rais wa Kenya William Ruto amewafuta kazi mawaziri wake wote na kuahidi kuunda serikali mpya ambayo itakuwa ndogo na yenye ufanisi kufuatia wiki kadhaa za maandamano ya kupinga kodi mpya na utawala mbaya.

https://p.dw.com/p/4iBpK