1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Tshisekedi amerejea Nairobi kwa mazungumzo kuhusu usalama

Sylvia Mwehozi21 Aprili 2022

Rais wa Jamhuri ya Kidemokirasia ya Congo Felix Tshisekedi yuko jijini Nairobi Kenya kwa ajili ya mkutano na marais wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, ikiwa ni siku chache baada ya nchi hiyo kujiunga rasmi na jumuiya hiyo ya kikanda. Kwenye mahojiano na DW, Tina Salama, naibu msemaji wa rais Tshisekedi amesema dhumuni la mkutano huo ni kujadili usalama katika eneo la mashariki mwa Congo.

https://p.dw.com/p/4ACSW