1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Tshisekedi akamilisha ziara yake Uganda

11 Novemba 2019

Akiwa ziarani nchini Uganda, Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekubaliana na mwenyeji wake, Rais Yoweri Museveni, kurejesha amani na usalama eneo la Mashariki mwa nchi yake kwa kuangamiza makundi ya wapiganaji, kama hatua ya kwanza katika kuboresha biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili.

https://p.dw.com/p/3Sonq