1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Ruto atamudu kuwatuliza vijana wanaondamana Kenya?

25 Juni 2024

Rais wa Kenya William Ruto amesema yuko tayari kuwashirikisha vijana katika juhudi za kulitafutia ufumbuzi suala la muswaada wa fedha nchini humo. Msimamo huo wa kiongozi huyo umekuja baada ya kushuhudiwa maandamano makubwa yaliyoitikisa nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwa siku kadhaa sasa. Je, atafanikiwa kuwatuliza vijana? Babu Abdalla amezungumza na Maimuna Mwidau, mchambuzi wa siasa za Kenya.

https://p.dw.com/p/4hQtX