1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Evariste Ndayishimiye akabidhiwa uenyekiti wa EAC

Veronica Natalis22 Julai 2022

Mkutano wa 22 wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki umeingia siku yake ya pili na ya mwisho hii leo jijini Arusha, Tanzania huku Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye akikabidhiwa rasmi uenyekiti wa EAC. Ndayishimiye anachukua nafasi ya Rais Uhuru Kenyatta ambaye amemaliza muda wake kama mwenyekiti. Sikiliza ripoti ya Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/4EWs3