1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa Sudan wakabiliwa na madhila ya vita

24 Juni 2024

Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, raia wa Sudan wamenaswa katika vita ambavyo tayari vimesababisha vifo vya makumi kwa maelfu ya watu na kuwalazimu zaidi ya wengine milioni 8.5 kuyakimbia makazi yao. Umoja wa Mataifa umeutaja mgogoro huo kuwa mkubwa zaidi duniani. Katika kipindi cha Mbiu ya Mnyonge, tunaelekea nchini Sudan kuangazia hali ya raia wa nchi hiyo wanaokabiliwa na madhila makubwa.

https://p.dw.com/p/4hPr1